- "kuzaliwa masikini sio kosa lako, ila kufa
maskini ni ujinga wako" (Bill Gate)
.
.
2,..Failure to plan is A plan to Fail
(felix Bundala)
.
. - "Heri kufa na mawazo yanayoishi, kuliko
kuishi na Mawazo yaliyokufa" .. (Che Guevara)
.
. - "Vita inamalizwa kwa vita na ili tuachane na
matumizi ya bunduki inabidi itumike bunduki" . .
(Mao ze Dong)
.
. - "sitamani kumjua babu yangu alikuwa nani,
ninachotaka kufahamu mjukuu wake atakuwa
na tabia gani".. (Martin luther king)
.
. - "Usimuulize mtu yoyote anayenijua mimi
maana utamjua yeye kupitia mimi" . .(Joe lescot)
.
. - "mwonekano siku zote hutengeneza
uwezekano" . . (lucky Crackent)
.
. - "Hatuwapendi wanawake kwa sababu ni
wazuri, ila tunawaona wazuri kwa sababu
tunawapenda". . (lucky crackent)
.
. - "watu ni wengi ila binadamu ni wachache". .
(fidel casto)
.
. - "Usiishi kwa sababu unaishi, tafuta sababu
ya wewe kuishi".. (Jay Ozil cazorla wilshere)
.
.
11, Hakuna mkate Mgumu mbele ya Chai
(Bob Sydou)
.
.
12, Kichwa kikubwa bila Akili ni Adhabu kwa
miguu
(thabiti Kube)
.
.
13, Uendawazimu ni cheo, Ambacho
hauruhusiwi hata kumwongoza mtoto
(leonard Mwendwa)
14 kumuongelea Wenger aondoke arsenal ni sawa na kujikuna pasipowasha au kujikuna kwenye kidonda(FesArsenal)
.
.
Kama hakuna hata falsafa moja uliyoikubali,
basi weka falsafa yako tuione..